Ziara ya FADHWAAILUL AYTAAM GROUP ya kuwatembelea yatima
Assalamu 'alaykum warahmatullahi wabarakatuh
Uongozi wa FADHWAAILUL AYTAAM GROUP unapenda kuwataarifu wanakikundi wote kuwa kutakuwa na safari ya kwenda kuwatembelea yatima UMRA ORPHANAGE CENTRE VIKAWE - BAGAMOYO siku ya jumapili tarehe 15/11/2020
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Dada Mariam(M/hazina)
+255 755 804 880
+255 625 551 123
WABILLAHI TAWFIIIQ
Comments
Post a Comment