Posts

Historia ya FADHWAAILUL AYTAAM GROUP

بسم الله الرحمن الرحيم Assalamu 'alaykum warahmatullahi wabarakatuh Historia ya fupi "FADHWAAILUL AYTAAM GROUP" ni Kikundi maalumu cha kiislamu kinachojihusisha na kuwasaidia mayatima , walemavu , wasiojiweza na wajane kinachoendeshwa kupitia mitandao ya kijamii kilianzishwa rasmi siku ya jumapili ya tarehe 09/12/2018 kupitia mtandao wa WhatsApp pekee kikiongozwa na viongozi wafuatao:- 1. Maulid Bin Swaleh (Mwenyekiti) 2. Kisandu Bin Kusolwa (Katibu) 3. Mariam Abdulrahman (M/hazina) 4. Abuubakari Saidi (Mratibu wa safari) Katika kipindi hicho kikundi kilikuwa katika kipindi kigumu sana hususani katika masuala ya kiuchumi pia katika nyoyo za watu ziamini ukweli kuhusu lengo la kikundi hakika kipindi hicho viongozi walijitolea muda wao na bundle(bando) zao ili waweze kuhamasisha jambo la kheri la kuwasaidia yatima, walemavu, wajane na wasiojiweza Kikundi kilikaa muda mrefu pasipokuwa na safari/ziara ya kikundi kutokana na mapato kuwa chini. Kikundi kilianza safari/ziara zak...

SURAH AL-BAQARAH 2:261

Al-Baqarah 2:261 مَّثَلُ ٱلَّذِينَ يُنفِقُونَ أَمْوَٰلَهُمْ فِى سَبِيلِ ٱللَّهِ كَمَثَلِ حَبَّةٍ أَنۢبَتَتْ سَبْعَ سَنَابِلَ فِى كُلِّ سُنۢبُلَةٍ مِّا۟ئَةُ حَبَّةٍۗ وَٱللَّهُ يُضَٰعِفُ لِمَن يَشَآءُۗ وَٱللَّهُ وَٰسِعٌ عَلِيمٌ  Mfano wa wanao tumia mali zao katika Njia ya Mwenyezi Mungu ni kama mfano wa punje moja iliyo chipuza mashuke saba. Katika kila shuke zimo punje mia. Na Mwenyezi Mungu humzidishia amtakaye, na Mwenyezi Mungu ni Mwenye wasaa na Mwenye kujua.

SURAH AT-TALAQ 65:7

At-Talaq 65:7 لِيُنفِقْ ذُو سَعَةٍ مِّن سَعَتِهِۦۖ وَمَن قُدِرَ عَلَيْهِ رِزْقُهُۥ فَلْيُنفِقْ مِمَّآ ءَاتَىٰهُ ٱللَّهُۚ لَا يُكَلِّفُ ٱللَّهُ نَفْسًا إِلَّا مَآ ءَاتَىٰهَاۚ سَيَجْعَلُ ٱللَّهُ بَعْدَ عُسْرٍ يُسْرًا  Mwenye wasaa atoe kadiri ya wasaa wake, na mwenye dhiki atoe katika alicho mpa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu hamkalifishi mtu ila kwa kadiri ya alicho mpa. Mwenyezi Mungu atajaalia baada ya dhiki faraji.

AL-MUNAFIQUN 63:10

Al-Munafiqun 63:10 وَأَنفِقُوا۟ مِن مَّا رَزَقْنَٰكُم مِّن قَبْلِ أَن يَأْتِىَ أَحَدَكُمُ ٱلْمَوْتُ فَيَقُولَ رَبِّ لَوْلَآ أَخَّرْتَنِىٓ إِلَىٰٓ أَجَلٍ قَرِيبٍ فَأَصَّدَّقَ وَأَكُن مِّنَ ٱلصَّٰلِحِينَ  Na toeni katika tulicho kupeni kabla hayajamfikia mmoja wenu mauti, tena hapo akasema: Mola wangu Mlezi! Huniakhirishi muda kidogo nipate kutoa sadaka, na niwe katika watu wema?

Akaunti za mitandao ya kijamii za FADHWAAILUL AYTAAM GROUP

بسم الله الرحمن الرحيم Assalamu a'laykum warahmatullahi wabarakatuh AKAUNTI ZA FADHWAAILUL AYTAAM GROUP. Kikundi maalumu cha kiislamu kinachojihusisha na kuwasaidia mayatima , walemavu , wasiojiweza na wajane kinachoendeshwa kupitia mitandao ya kijamii. GMAIL. fadhwaailulaytaamgroup@gmail.com FACEBOOK. Facebook page: Fadhwaailul Aytaam Group https://www.facebook.com/fadhwaailulaytaamgroup/ Facebook group: Fadhwaailul Aytaam Group https://www.facebook.com/groups/197503387515522/?ref=share INSTAGRAM. Fadhwaailul_aytaam_group https://www.instagram.com/invites/contact/?i=1vvu6pnzuwqr3&utm_content=675xand WHATSAPP https://chat.whatsapp.com/8I78GU87AEhJYpSaUH1Prh TWITTER. Fadhwaailul Aytaam Group https://twitter.com/AytaamGroup?s=09 TELEGRAM. Telegram channel: Fadhwaailul Aytaam Group https://t.me/joinchat/AAAAAErhawce6LDAtd4azA Telegram group: Fadhwaailul Aytaam Group https://t.me/joinchat/IPrZ4hZA7Hl35ohjxIv_BA YOUTUBE. Youtube channel: Fadhwaailul Aytaam Group https://www.youtube....

Ziara ya FADHWAAILUL AYTAAM GROUP ya kuwatembelea yatima

Assalamu 'alaykum warahmatullahi wabarakatuh Uongozi wa FADHWAAILUL AYTAAM GROUP unapenda kuwataarifu wanakikundi wote kuwa kutakuwa na safari ya kwenda kuwatembelea yatima UMRA ORPHANAGE CENTRE VIKAWE - BAGAMOYO siku ya jumapili tarehe 15/11/2020 Kwa maelezo zaidi wasiliana na Dada Mariam(M/hazina) +255 755 804 880 +255 625 551 123 WABILLAHI TAWFIIIQ

Fadhwaailul Aytaam Group wamefanikiwa kugawa majuba MWANA ORPHANAGE CENTRE kilichopo Vingunguti kwa Pelapela

Image